The East African Anthem

Uganda is one the original three founding members of the East African community; Uganda, Kenya and Tanzania. The East African Community is a regional bloc now made up of 6 states; Uganda, Rwanda, Kenya, Tanzania, South Sudan and Burundi.

 1. Eeee Mungu twaomba ulinde
  Jumuiya Africa Mashariki
  Tuwezeshe kuishi kwa amani
  Tutimize na malengo yetu

Chorus:

Jumuiya yetu sote tuilinde
Tuwajibike tuimarike
Umoja wetu ni nguzo yetu
Idumu Jumuiya yetu

 1. Uzalendo pia mshikamano
  Viwe msingi wa Umoja wetu
  Natulinde Uhuru na Amani
  Mila zetu na desturi zetu
 1. Viwa ndani na hata mashambani
  Tufanye kazi sote kwa makini
  Tujitoe kwa hali na mani
  Tuijenge Jumuiya bora